What Happened to Tanganyika?
Issue 1 Maswali Magumu October 2026
Unscrolling the Records
I am a Tanganyikan. I am writing from outside the country.
The question this Gazette asks: under what constitutional authority was the Republic of Tanganyika dissolved on 25 April 1964, and what are the legal consequences if no such authority existed?
From my preliminary research, this question has not been examined in published scholarship.
Answering it requires four things:
I am not a lawyer. I am not a scholar. I know a few things about contracts. I publish under a pseudonym because historically and legally, questioning the Union has carried serious consequences in Tanzania. Every source is cited. Every document is public.
Follow the documents. The answers are there.
Nyaraka Zinasemaje?
Watanganyika wenzangu, naomba tuungane pamoja na jumuiya ya wasomi mataifani kuuliza maswali magumu. Maswali muhimu ambayo kama yameshajadiliwa, mjadala uliishia vipi? Nimesoma nyaraka nyingi za kawaida na za kisomi ila sijaliona swali lifuatalo:
“Je bunge lililovunja Jamhuri ya Tanganyika lilikuwa na mamlaka hiyo kikatiba?”
Karibuni sana kwenye mjadala huu. Changia kwa namna yoyote ile unavyojiweza hata mazungumzo kijiweni na mtandaoni. Tumieni mtandao kulainisha lugha kisha pitieni nyaraka kwa makini. Vijana, mkubaliane ni nyaraka gani mtaikalia kitako kijiweni
Tujadili nyaraka zinavyosema na sheria zikoje, sio tunavyotaka.
Miaka 62 inatosha
Ikiwa ungependa kulinda mawasiliano yako kabla ya kuandika, nyenzo zifuatazo ni mahali pazuri pa kuanzia::